Wewe ulinunua dukani au uchochoroni?? Mana unaweza kuwa umenunua na hukupewa warant afu unalalamikaHata bure sizitaki bidhaa za Rising......
Vifaa vye vina ubora hafifu lkn pia mmekua wasumbufu mnooo na hizo warranty zenu ni michosho,
Si kwamba nawafukuzia wateja ila mnapaswa kuwaambia wateja nunua wenunue at their own risk
Kweli? Naipata kwa bei gani mkuu..Inapatikana mzee