Njoo tulime kilimo cha umwagiliaji

Njoo tulime kilimo cha umwagiliaji

mtani21

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2021
Posts
954
Reaction score
1,529
Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.

Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
 
Kwa nini usilime wewe mwenyewe hadi uhitaji kampani?
 
Eneo lako linastawi mazao gani?chanzo cha maji ulichonacho ni kipi?
 
Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.

Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
Nicheki kwenye naomba hii 0762912692.
 
Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.

Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
0718316177 nicheki
 
Niuzie heka moja
 
Mkuu Heka

Mkuu Heka sita ndiyo unatafuta mdau.mbona eneo dogo hilo hata wewe mwenyewe peke yako halikutoshi
 
Kilimo kizuri sana hiki vijana mkitoboa nunueni hata magari kama kumbukumbu ya kuvuja jasho
 
Back
Top Bottom