Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.
Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
😂😂😂Kwa nini usilime wewe mwenyewe hadi uhitaji kampani?
Jambo zuri shirikisha na wenzako. Pia kuongeza nguvu ya mtajiKwa nini usilime wewe mwenyewe hadi uhitaji kampani?
Mahindi, tikitiki, mihogo, maboga n.kEneo lako linastawi mazao gani?chanzo cha maji ulichonacho ni kipi?
Umeshindwa nini kulima peke yako? Wasiliana na Bagamoyo Sugar ulime miwa kama outgrower!Mahindi, tikitiki, mihogo, maboga n.k
Chanzo cha maji n bwawa kubwa na kisima cha kuchimba
Umeshindwa nini kulima peke yako? Wasiliana na Bagamoyo Sugar ulime miwa kama outgrower!
Wewe ndio mtoa nNapenda kushirikishana. Ntawacheki hao jamaa
Nicheki kwenye naomba hii 0762912692.Mimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.
Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
0718316177 nichekiMimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.
Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
[emoji23]Kwa nini usilime wewe mwenyewe hadi uhitaji kampani?
Niuzie heka mojaMimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.
Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime
Nashauri uwepo mkataba mkali sana na ugongwe mihuri na wanasheria saba, yaani 7.Wazo zuri
Mkuu Heka sita ndiyo unatafuta mdau.mbona eneo dogo hilo hata wewe mwenyewe peke yako halikutoshiMimi ni mdau wa kilimo. Nina mashamba kadhaa baadhi ya mikoa. Ila natafuta mdau mwenye mzuka wa kilimo tulime, kwa shamba langu liliopo Mkoa wa pwani, Wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga ekari 6. Shamba lina maji ya kutosha.
Kilimo cha umwagiliaji kinalipa. Njoo tulime