Njoo tumzungumzie msanii Marioo

Nipe chakula ntanawa, ntakula ntashiba.
Usiku nikienda kulala ntaota mapenzi..

Ukisikia naimba, nafurahi najiimbia kama ukisikia naimba naimba mapenzi.

Ukiniona nalia nifute machozi... jua ukiniona nalia nalilia mapenzi. Ooh yeyeyeeh

Balaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…