Uniiombi hela .ulinifuma na michepuko kibao ukanisamehe kwel unamoyo mzur .ulinigaia robo ya boom lako nlivyokwambia life LA chuo limenipiga nimemaliza ela kwa kubet .sikupigii Sm ila huchok kunitafuta na kunirushia vocha nakuhaidi nitajitahid kuacha tabia mbaya