Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Hhahahahahahaa babu weeweee kwani si ulishasema wewe unashughulikia mdomo wa chini na Yamakagashi ashughulikie mdomo wa juu?, na ukasema nyie ni dugu moja kisiasa?
I love you Yamakagashi

and you too babu Asprin View attachment 437148
Wivu sina ila roho inaumaaa...

ODM anatetemekaaa...

Akaliaaaa kwa huzuniiii
Hata mwishooo alikufaaaa
Pale jamiforamuuu
Akakataaa rohooo
Kwa huzuniiiiii
 
huhuhuuuu lovely darling.

najua wako wengi watalizungukia penzi langu kwako lakini nakuahidi nitakuwa gud mum to our children and gud wife honey.

please usiangalie pembeni cause unajua nilivyo na wivu mwenzio. Napenda kuishi ujue.
 
Anhaaa.... kumbeee???
 
Wivu sina ila roho inaumaaa...

ODM anatetemekaaa...

Akaliaaaa kwa huzuniiii
Hata mwishooo alikufaaaa
Pale jamiforamuuu
Akakataaa rohooo
Kwa huzuniiiiii

Aaahhahahahahahaaa babuuuu jamani kishimo kile cha chini wewe si ndo unamiliki? hahahahahahaaa ati akakata roho kwa huzuni eehehehehehehee.

Ndo kusema umemuachia Yamakagashi aendeshe gurudumu moja kwa moja.......
 
Wacha we!!! Babu naona unanigawa tu.
 
huhuhuuuu lovely darling.

najua wako wengi watalizungukia penzi langu kwako lakini nakuahidi nitakuwa gud mum to our children and gud wife honey.

please usiangalie pembeni cause unajua nilivyo na wivu mwenzio. Napenda kuishi ujue.
I gat you, And I promise to be with you forever, Am yours
 
Yani mtu yupo online lakini mpaka mda huu sijaandikiwa hata vi verse viwili aiseee nimeamini sipendwi.
We ni honey mtamu kama asali,
Avator yako miguu mrembo unaniacha chali,

Shibe yangu uhodari,
Kitandani wanipa midadi,

Bado sijafikia kidari,
Chuchu sa sita maridadi,

Sina uwezo wa kukupa gari,
Ntakupa upendo na muda ufaidi,

Msambwanda sina hakika,
Michepuko wataachika,

Njia kuu ubaki wa rika,
Watoto mapaparika,

Tabia faith ni maridhawa,
Hapo gent unanifanya napagawa......

To BE CONTINUE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…