Leo July 30 ni siku ya kimataifa ya marafiki duniani.
Nami kama mwanajukwaa napenda kutumia fursa hii ya kipekee na ya kihistoria kufikisha haja ya moyo wangu ulio mpweke kwamba nahitaji rafiki wa Musharraf nae experience of lives. I believe, through this forum I will meet a lonely heart like mine to match up and build a strong relationship.
Kwa alotayari PM me!