Njoo uchukue ramani ya bure kabisa ukajenge

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Habarini ndugu na marafiki,
Sote ni ndugu kwa sababu sote ni watanzania kwa hivyo sio vibaya wakati mwingine kusaidiana.

Sasa leo hii nimeamua kutoa ramani ya bure kabisa ili ukajenge.

Ukihitaji PDF file yake klick hapo chini kabisa nimesha kuwekea.

Kumbuka vipimo vyote kwenye hii ramani vipo kwenye mfumo wa mita (m).





Ahsanteni sana jamani.
Tupo pamoja
 

Attachments

Mkuu appload tu hapa hapa ya nyumba ya vyumba vitatu kimoja master nitaichukua tu hapahapa.

Natanguliza shukrani.
 
hii nyumba inaweza chukua bati ngapi kwenye kuezeka
 
Habari Mkuu,vipi zile za Hiden Roof!
 
Nipe ramani ya stoo ya mazao,jiko, room moja ya kulala na Banda la kuku
 
Picha yake nzima ikoje baada ya kwisha nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…