Njoo ujifunze kilimo cha matikiti kwa vitendo

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
Kutokana na kuombwa sana kufundisha kuhusu kilimo hiki nimekuja na wazo tofauti
nakaribisha watu kumi wa kujifunza kuanzia upandaji wake hadi kuvuna
kila mtu atachangia tshs elfu 50 itatumika kwa chakula na kutengeneza mahema ya kuishi yeye mwenyewe kilimo hiki ni cha miezi miwili na kitaanza rasmi tarehe 10 mwezi huu!
nitaanza kwa kupanda heka 2 kisha kila baada ya mwezi tutapanda moja!

mapato yakiwa mazuri kuna uwezekano wa kupewa kifuta jasho mwishoni
elimu utakayopata itakua ni zaidi ya hela unayoifikiria
kama hutapata au hutakua na hela unaweza kuja na maharage dagaa unga na vitu vingine kwa ajili ya kula yako!
kwa mawasiliano

tunalimia mkuranga na kama unaweza kuja kujifunza siku za weekend pia karibu

0692809620

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…