Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea vema sana. Akifata ushauri huu atakuwa sehemu sahihi.Mambo ya kua makini
Tafuta Wakili kwa ajili ya Wafugaji kwa dharura endapo watavamia
Jipange kiimani Vinginevyo utalima hekari 100utavuna gunia 20
Sehemu nzuri ambayo ungeliweza kulima Ni ktk Mashamba ya ASA wana hekari 2000lakn hawalim zote hizo Ni sehemu yenye rutuba,maji muda wote,yanapatikana ,nadra kulishiwa mazao na Wafugaji
Mashamba ya ASA yapo Kilosa Kilangali.
Safi sana... Ni hekari ngapi kiongozi? Ulikuwa una uzaje? Na bado una mpango wa kuuza? Ni kilosa sehemu gani?
Hongerahapana kwa sasa siuzi ni heka 3 tuu mkuu kwa nilichokiona siwezi kuuza shamba linalipa mno.