Njoo unipe like Pliz, Nataka niwe nazo nyingi

jf ndo wapi huko?

Ni hapa karibu na Keyboard

kata kushoto kama unaelekea kwenye display

kila nyoosha moja kwa moja mpaka kwenye browser

Hapo utamkuta server

yeye atakuelekeza jinsi ya kufika jf

ni mji mzuri kwa kweli


Karibu ufanye utalii!!!
 
Ni hapa karibu na Keyboard

kata kushoto kama unaelekea kwenye display

kila nyoosha moja kwa moja mpaka kwenye browser

Hapo utamkuta server

yeye atakuelekeza jinsi ya kufika jf

ni mji mzuri kwa kweli


Karibu ufanye utalii!!!

Huko mbali sana, kama vipinjoo tukutane city center PM, kwa kijanja noma
 
Huko mbali sana, kama vipinjoo tukutane city center PM, kwa kijanja noma


Kuna mtu nilimtukana PM so mod wakani-BAN kutumia PM

BAN yangu inaondolewa January mwakani

So be patient!!

Teh !!
 
Haya nimekupa. Umefurahi eeegh!

Na ww nifurahishe PM..
Ntakupa hata likes zangu zote 2500.
 
Haya nimekupa. Umefurahi eeegh!

Na ww nifurahishe PM..
Ntakupa hata likes zangu zote 2500.


Pm yangu imepigwa Ban

wewe niambie hapahapa afu futa haraka mi ntakuwa nshasoma ulichoandika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…