Njoo unisaidie jina la wimbo wa Franco Lwambo nidownload ili niburudike

Njoo unisaidie jina la wimbo wa Franco Lwambo nidownload ili niburudike

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Wapenzi wa Rumba zito na tam la Franco Lwambo Makiad njoo mnikumbushe jina la wimbo anaoimbaga mwishon anamalizia "OMA" sijui jina la huu wimbo, yaani huwa nauskia tu watu wanaskiliza na kuburudika. Anaejua jina la huo wimbo naomba anikumbushe nidownload.

Karibuni
 
Nyimbo za huyo jamaa karibu zote Zina introduction na conclusion
 
Tumia Application ya Shazam kutambua majina ya nyimbo,

Ukiusikia huo wimbo unapigwa tena urekodi kwa simu yako japo kidogo kisha weka hapa.
 
Wimbo unaitwa "Ekaba kaba"
Dakika 15:07

Ukishindwa kuupata ama ku-u-download, njoo PM
 
Nyimbo zote za Franco alizoshirikiana na Madilu na Lutumba ni nzuri sanaaa.
 
Nyimbo zote za Franco alizoshirikiana na Madilu na Lutumba ni nzuri sanaaa.
Ni kweli kabisa mkuu, kuna una majina yake pls shusha hapa au yeyote mwenye majina ya nyimbo za legend huyu akiwa pamoja na legends wengine hasa madilu na Simaro pls nineteen hapa hasa Ile ngoma iliyopigwa pale airport wakati mwili wa Franco ukishushwa kutoka kwenye ndege
 
Ninazo kadhaa, lakini pia zipo youtube.

Search "Le TP Ok Jazz" au Franco Luambo Luanzo Makiad songs.
 
Back
Top Bottom