Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Unaijua hii au unalipuka tu mkuu?hayo mataka taka yalikuwa yanauzwa elfu 1500 tu...leo unataka kuwazurumu watanzania wenzako kwaajili ya kitu cha msimu tu...mbavu kabisa
Nimeona niwaokoe wenzangu humu bna mkifa nitabaki na Nani?
Hii sanitizer bna nauza mls 100 elfu 9000 tu
Ukichukua pc 12, 8500
Mawasiliano 0679834671
Ndogo yake mls 50 nauza elfu 6
Mkipiga simu anzia saa tano usiku itapendeza.delivery pia ipo wakuuView attachment 1398146
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi muuzaji tu mkuu ila hii Ni ya kweliSorry naomba kujua jambo, wanasema sema swala la ratio ya alcohol! Kwamba ianzie asilimia kadhaa ndiyo inaua corona virus, hapo inakuwaje? na hizo zako zina asilimia ngapi ya alcohol?
Ahaaa sawa mkuuKweli mkuu ukifa tutabaki na nani me nataka uniletee nyumbani.kwa mda huo
Muuzaji means hizo chupa unazo, ni kitendo cha dk 0 kuigeuza na kusoma ingredients
Nyingne Ni alcohol Free rafiki.Muuzaji means hizo chupa unazo, ni kitendo cha dk 0 kuigeuza na kusoma ingredients
Kiwango cha chini angalau ni 60% of alcohol ikiwa imekamilika kwa matumizi...Sorry naomba kujua jambo, wanasema sema swala la ratio ya alcohol! Kwamba ianzie asilimia kadhaa ndiyo inaua corona virus, hapo inakuwaje? na hizo zako zina asilimia ngapi ya alcohol?
Ikiwa free hawajairecommend wajuziNyingne Ni alcohol Free rafiki.
Wanatumia mbadala wa alcohol(agents km b. chloride)sio km hawaweki kitu kbsa... zinatumika ila Kama unavyosema haziko recommended sanaIkiwa free hawajairecommend wajuzi