Ndiyo maana Wa Kenya wanakunywa!Kiwango cha chini angalau ni 60% of alcohol ikiwa imekamilika kwa matumizi...
Ila pia sio zote zinatumia alcohol.
Mkuuu acha fixNdiyo maana Wa Kenya wanakunywa!
Wakishaona alcohol tu, basi wanajua kinywaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasikia leo!
Hadi waislamHivi hizi zenye alcohol hata walokole wanaruhusiwa kutumia?