Kha! shetani amebagazwa na kubanangwa! Ila nina swali mkuu.Tafadhali, usipite hapa bila kuacha comment ya kumzodoa shetani.
Mnatuchanganya π³"We shetani, nakuambia bila kupepesa macho, na kila mtu asikie. Wewe ulikuwa malaika mbinguni; uliumbwa ukiwa mzuri na mwenye utukufu. Ukaanza kujiona bora zaidi ya Muumba wako. Ukadhani unaweza kukaa kwenye kiti cha Mungu. Ona kilichokupata. Ulitupwa chini kama takataka! Kiburi chako kilikuangusha, upumbavu wako ulikufanya kuwa wa hovyo.
Wewe ni wa ajabu sana. Una umri mkubwa, lakini huna hekima. Yote unayofanya ni marudio tu ya hila za zamani. Huna jipya!
Yesu alipokuja duniani, ulijiona umeshinda ulipompeleka msalabani, kumbe ulikuwa unajimaliza mwenyewe. Kwa kifo chake na kufufuka kwake, Yesu alikupiga "knock out" na kuzivunja kazi zako zote. Kuanzia siku ile, ikajulikana wazi kuwa wewe si chochote, si lolote.
Unajivuna eti wewe ni simba angurumaye. Lakini ukweli ni kwamba wewe ni simba mwenye meno ya karatasi! Unajua kuunguruma sana, lakini huna meno ya kungβata. Umejaa kelele tupu. Unawatisha tu wasiomjua Mungu: walevi, wazinzi, waongo na wenye dhambi kama wewe. Lakini sisi tuliookoka tunakutazama na kukucheka.
Kila siku unazunguka huku na kule ukitafuta mtu wa kummeza. Kumbuka siku ile, uliwatuma majambazi wanimalize barabarani. Walikuja kwa njia moja, nikawapiga "fire" kwa Jina la Yesu, wakatawanyika kwa njia saba.
Ukatuma tena wachawi usiku, eti waniangamize. Kwa Jina la Yesu niliwapiga kipigo cha mbwa koko! Wakachoropoka mbio kama paka aliyefukuzwa jikoni kwa kutaka kuiba nyama.
Aibu yako shetani! Hata mtoto mdogo akitaja jina la Yesu, unatetemeka!
Na sasa nakukumbusha hatima yako, kila mtu asikie. Your days are numbered. Mwisho wako tayari umeandikwa: ni kutupwa katika ziwa la moto. Utakaa humo daima na kupata mateso yasiyoisha.
I dare to talk openly: sikuogopi shetani. Yesu alinipa mamlaka ya kuzikanyaga nguvu zako za giza. Kwa Jina la Yesu, nakupinga sasa, nakukemea, natangaza mbele ya kila mmoja kuwa umeshindwa. Wewe ni wa hovyo, nimekuaibisha leo. Nimekuzodoa!
Kwa jina la Yesu Kristo, toka hapa, ondoka!"
Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea
Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya
Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama
Umri
Uzao
Nguvu
Cheo
Akili
Kifo
Umri
Binadamu wote kwanzia wa kwanza hakuna mwenye umri wake au anayekaribia umri wake
Katika swala la umri inatupasa tuogope kabisa kwasababu ni vigumu kushindana na Mwanajeshi aliyekuzidi umri anayofahamu yeye ni sawa na trillions za siri, sisi hatuna tunachokijua
Uzao
Binadamu wote tunatoka kwenye matumbo ya mama zetu yeye hakuzaliwa
Tuliotoka kwenye tumbo za mama zetu tunathubutu kunyooshea jua kidole lazima litatuchoma
Nguvu
Hakuna binadamu mwenye nguvu yeyote ya kumfanya Shetani angalao tu amtazame, anachokiona yeye mbele zake ni sawa na nzi
Ana uwezo wa kugeuza dunia ikageukia chini bahari ikakaa juu
Wewe binadamu unaweza kufanya hivyo?
Akili
Kamwe hatuwezi kuzungumzia akili za Shetani kwasababu ni za kiwango kisichopimika
Binadamu ndiye mshenzi ana akili za kipuuzi ndiyo maana anaua wenzake kwasababu amejaa mavi akilini
Wajinga kama hawa ndio wanaothubutu kunyooshea Shetani kidole
Cheo
Hakuna mdudu binadamu mwenye Cheo cha Shetani
Yeye anakaa na Mungu meza moja wanazungumza mambo mengi, wewe uliwahi kukaa na Mungu meza moja mkazungumza??
Kifo
Binadamu wote tunazaliwa na kufa huo ndio utaratibu
Yeye alizaliwa wapi na ulishawahi kumsikia amekufa??
Watu ndio wanakufa wanamwacha
Wamekuja mitume wengi, ukianza na Yesu ameondoka kwa kifo, amekuja Mtume Muhammad vivyo hivyo
Kwa haya machache niliyo orodhesha hapa tunapaswa kukimbia na kuogopa kabisa kufanya masihara na Shetani
Yeye ni Tembo siku zote itakayokanyagwa ni nyasi
Unapata wapi kiburi cha kupambana na kitu ambacho wewe ndiye utakayekufa na kubaki mifupa atakayebaki ni yeye???
Nipo sina mengi zaidi ya kuwaomba tusipambane na vitu vilivyotuzidi umri tutaumia sisiMr Why upo?
Ndugu yangu tema mate ukimbie na usigeuke nyuma, hiki unachokidhihaki kikikugeukia utajuta kuzaliwa"We shetani, nakuambia bila kupepesa macho, na kila mtu asikie. Wewe ulikuwa malaika mbinguni; uliumbwa ukiwa mzuri na mwenye utukufu. Ukaanza kujiona bora zaidi ya Muumba wako. Ukadhani unaweza kukaa kwenye kiti cha Mungu. Ona kilichokupata. Ulitupwa chini kama takataka! Kiburi chako kilikuangusha, upumbavu wako ulikufanya kuwa wa hovyo.
Wewe ni wa ajabu sana. Una umri mkubwa, lakini huna hekima. Yote unayofanya ni marudio tu ya hila za zamani. Huna jipya!
Yesu alipokuja duniani, ulijiona umeshinda ulipompeleka msalabani, kumbe ulikuwa unajimaliza mwenyewe. Kwa kifo chake na kufufuka kwake, Yesu alikupiga "knock out" na kuzivunja kazi zako zote. Kuanzia siku ile, ikajulikana wazi kuwa wewe si chochote, si lolote.
Unajivuna eti wewe ni simba angurumaye. Lakini ukweli ni kwamba wewe ni simba mwenye meno ya karatasi! Unajua kuunguruma sana, lakini huna meno ya kungβata. Umejaa kelele tupu. Unawatisha tu wasiomjua Mungu: walevi, wazinzi, waongo na wenye dhambi kama wewe. Lakini sisi tuliookoka tunakutazama na kukucheka.
Kila siku unazunguka huku na kule ukitafuta mtu wa kummeza. Kumbuka siku ile, uliwatuma majambazi wanimalize barabarani. Walikuja kwa njia moja, nikawapiga "fire" kwa Jina la Yesu, wakatawanyika kwa njia saba.
Ukatuma tena wachawi usiku, eti waniangamize. Kwa Jina la Yesu niliwapiga kipigo cha mbwa koko! Wakachoropoka mbio kama paka aliyefukuzwa jikoni kwa kutaka kuiba nyama.
Aibu yako shetani! Hata mtoto mdogo akitaja jina la Yesu, unatetemeka!
Na sasa nakukumbusha hatima yako, kila mtu asikie. Your days are numbered. Mwisho wako tayari umeandikwa: ni kutupwa katika ziwa la moto. Utakaa humo daima na kupata mateso yasiyoisha.
I dare to talk openly: sikuogopi shetani. Yesu alinipa mamlaka ya kuzikanyaga nguvu zako za giza. Kwa Jina la Yesu, nakupinga sasa, nakukemea, natangaza mbele ya kila mmoja kuwa umeshindwa. Wewe ni wa hovyo, nimekuaibisha leo. Nimekuzodoa!
Kwa jina la Yesu Kristo, toka hapa, ondoka!"
Hahaa, nimemeza mate badala ya kutema!Ndugu yangu tema mate ukimbie na usigeuke nyuma, hiki unachokidhihaki kikikugeukia utajuta kuzaliwa
Usifanye masihana na haya mambo, ni mazito sana, yamegharimu mabilioni ya watu
Setfree
Au ulipigana na vibwengo ndugu yangu kwasababu kuna mambo mengiHahaa, nimemeza mate badala ya kutema!
Ndugu yangu Mr Why mbona nimekupa mifano hai jinsi nilivyomsambaratisha shetani na mapepo yake na wachawi wake. Tafadhali soma nyuzi hizi:
Nimewapiga wachawiβkipigo cha mbwa koko!
Hii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma. Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano...www.jamiiforums.com Shetani ni mbwa koko. Labda anakutisha wewe kwakuwa hujaokoka. Ukishaokoka, shetani ni kama mende tu. Ukimkemea kwa Jina la Yesu, anaanguka chini, chaliNimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma! Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua...www.jamiiforums.com
Hao ni wasaidizi wa shetani. Wanafanya uovu wao kwa nguvu za shetani. Hivyo ukiwashinda wao, umemshinda shetani. By the way, wewe husomi Biblia? Kama unaisoma, hili andiko unalielewaje?Wachawi, vibwengo, majini na mizimu sio yeye
Kuna Wachawi, vibwengo, Mizimu na majini hawa ndio watu wanapambana nao kila sikuSafi sana. Naona idadi ya wanaomcheka shetani inazidi kuongezeka. Acha azidi kuaibika
Iko hivi sio kwamba ni wasaidizi au labda anawatumaHao ni wasaidizi wa shetani. Wanafanya uovu wao kwa nguvu za shetani. Hivyo ukiwashinda wao, umemshinda shetani. By the way, wewe husomi Biblia? Kama unaisoma, hili andiko unalielewaje?
Yak 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.
Wewe unataka mimi nimkimbie shetani wakati yeye ndiye anayepaswa kunikimbia mimi.
Kila mtu awe mdogo awe mkubwa, awe mtume awe layman, maadam amekokoka, amepewa mamlaka ya kumkanyaga shetani (Luka 10:19). Shetani ni muongo, anajimwambafy tu lakini Jina la Yesu likitajwa anatetemeka. Unafikiri hii mada haioni? Anaiona sana tu lakini hana nguvu ya kunizuia kumzodoa!Kuna Wachawi, vibwengo, Mizimu na majini hawa ndio watu wanapambana nao kila siku
Huwa watu wanadhani ni Shetani
Shetani hafuati binadamu
Anaongea na watu wakubwa tu mfano mitume kwasababu ya daraja lake ni kubwa sana hawezi kufwata watu labda mitume
Setfree