Plot4Sale Njoo upate kiwanja kwa chikira njia ya Chanika karibu na Sheratoni

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Lengo ni wewe upate kiwanja pengine mwisho wa mwaka huu uwe umeanza kujenga

kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni karibu na na panafikika kirahisi wakati wote

Pengine gharama ikaonekana ni kubwa maana kwa ukubwa wa sqm 1,000 unaweza kukigawa mara mbili na ukapata viwanja viwili vikubwa vinavyozidi 20m x 20m na eneo kwa matumizi ya bustani ya kupumzikia likawepo au eneo la kuchezea watoto

kwa bei ya sh 11,800,000/=

kufika kuona piga 0713-683422
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…