Njoo upige kura hapa umjue rais wa awamu ya 5 kabisa

Njoo upige kura hapa umjue rais wa awamu ya 5 kabisa

Peculiar

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
821
Reaction score
689
Hata watangaze nia watu mia nane,rais anatakiwa mmoja tu! Kati ya hawa kura yako unampa nani?

1. F. Mbowe
2. B. Membe
3. Dr. Slaa
4. l. Lipumba
5. J. Makamba
6. Z. Kabwe
7. E. Lowassa
8. M. Nchemba
9. M. Pinda
10. J. P. Magufuli
11.
12.
13.
14.

Nani anafaa kuwa rais? Piga kura.
 
Dr slaa tu..
Chaguo la mungu tumaini la watanzania wote
 
Mleta mada una haraka kama unaoga nje vile. Subiri waishe basi kuchukua fomu. Au sema tu unatamani nani awe rais wako
 
Back
Top Bottom