that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 385
- 1,246
Ukiamua inawezekana, kama kweli umechoka hutahitaji sababu utaondoka mwenyewe bila kugeuka nyuma
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Unakiuka maandiko "Mpende jirani yako kama unavyojipenda"Furaha yangu ni muhimu zaidi kuliko kitu chochote, najipenda mwenyewe kwanza[emoji3059]
Am single...muulize Harmonize
Unakiuka maandiko "Mpende jirani yako kama unavyojipenda"
Kwani plate number??😂😂😂😂haina kuremba
Mbona ghafla Shangazi?🤣🤣🤣juzi ulikuwa kwenye penzi zitoAm single...muulize Harmonize
Zamani ulikuwa Nani?natamani uwe Nakadori NimemmissHabari za jioni wakuu!
Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.
Naomba msipite bila kusema neno hapa,
Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza?
Watoto mko likizo eeh😀😀😀
🤣🤣🤣🤣Utaniweza mie japo in reality unajua siwez nikawa nipo single🤭Mbona ghafla Shangazi?🤣🤣🤣juzi ulikuwa kwenye penzi zito