Tuziogope laana mkuu unaweza ukaona vitu vingine ni vidogo lakini ukiviongea mbele ya hadhira kadri wanaendelea kusoma na kuichukia comment yako ndivyo mambo yako yanazidi kuwa magumu huku watu wamtaani kwako wakiongezeka kukudharau wewe bila kujuaHicho kitanda umetomb.@ mara ngapi?
Ufanunuzi tafadhali!
Kwani nimekuuliza kwa ubaya boss?Tuziogope laana mkuu unaweza ukaona vitu vingine ni vidogo lakini ukiviongea mbele ya hadhira kadri wanaendelea kusoma na kuichukia comment yako ndivyo mambo yako yanazidi kuwa magumu huku watu wamtaani kwako wakiongezeka kukudharau wewe bila kujua
Amini maneno yangu mkuu
Nimesema kwa uzuri si kwa ubaya sorry kama nitakuwa nimekukwa mkuu
Fanya yaishe mkuu MAISHA yaendeleeKwani nimekuuliza kwa ubaya boss?
Maana hata gari likiuzwa mteja hupenda kujua limetembea kilomita ngapi na service history.
Sasa kukuukiza kitanda umepigia gemu ngapi unaona kama nimejidhalilisha na kukaribisha vyuma kunibana?
Au wewe ni mtawa/padri/askofu ambaye hutumii kitanda chako kupigia gemu?
Nisamehe endapo nitakiwa nimekukwaza boss!!
Unadhani tungekuwa hata na laki tatu tungeendelea kukaa kwa shemejiWale mnaoishi kwa shemeji, mnalala sebuleni haya mshindwe sasa.
Niongezee pesa kiasi nkachukue hilo geto.Wale mnaoishi kwa shemeji, mnalala sebuleni haya mshindwe sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahUnadhani tungekuwa hata na laki tatu tungeendelea kukaa kwa shemeji
Shilingi ngapi? Halafu nitaruhusiwa kuja!?Niongezee pesa kiasi nkachukue hilo geto.
Sio kuja tuShilingi ngapi? Halafu nitaruhusiwa kuja!?
😂 😂 😂 😂Sio kuja tu
Hata ukitaka kuhamia , uje tukae wote unaruhusiwa cha muhimu uwe na jinsia ya kike.
Sawa, nikuongezee shilingi ngapi? 950,000?Sio kuja tu
Hata ukitaka kuhamia , uje tukae wote unaruhusiwa cha muhimu uwe na jinsia ya kike.
Shilingi za kitanzania Hamsini elfu tu. Itanitosha. Mimi nina M moja tayari.Sawa, nikuongezee shilingi ngapi? 950,000?
Sawa sawa.Shilingi za kitanzania Hamsini elfu tu. Itanitosha. Mimi nina M moja tayari.
Nahitaji hiyo 50 ya kulipa gharama za mwanzo za maji na umeme
So tutakuwa wote kwenye huo mchumba na msebule au utaniacha peke yanguSawa sawa.
[emoji106]Tuziogope laana mkuu unaweza ukaona vitu vingine ni vidogo lakini ukiviongea mbele ya hadhira kadri wanaendelea kusoma na kuichukia comment yako ndivyo mambo yako yanazidi kuwa magumu huku watu wamtaani kwako wakiongezeka kukudharau wewe bila kujua
Amini maneno yangu mkuu
Nimesema kwa uzuri si kwa ubaya sorry kama nitakuwa nimekukwa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani tungekuwa hata na laki tatu tungeendelea kukaa kwa shemeji
Umesahau kuweka locationBaada ya kuamua kuingia katika upande wa pili ili kukuza kipato Mara dufu zaidi (kilimo) kuna upande wa kwanza nahama (biashara ya kukaa sehemu moja)/nasitopisha kwa muda sio kwa kufeli ila kwa sababu mpaka kufikia now nimetimiza malengo yangu maana nilikuwa na malengo ya kufanya biashara for 2 years ili kufikia lengo , kwa hili namshukuru mungu nimefikisha miaka miwili na lengo limetimia so nataka nikajaribu kilimo almost for 14 months nikaone inakuwaje baada ya hio miezi nitaleta mrejesho pia!
So kwa maana hio kuna vitu vingi nimevitangaza kuviuza na vingine bado vinaendelea NA kutangazwa na vingine vimechukuliwa saivi nimehamia vitu nilivyokuwa natumia ndani nataka kuviuza kwa namba ifuatayo
A. KUUZA GETHO CHUMBA NA SEBLE KODI YA LAKI KWA MWEZI LIKIWA NA PAMOJA NA KODI YA MIEZI MITATU MBELE ,KITANDA NA GODORO LAKE,JIKO LA GESI,MITUNGI YA GESI MKUBWA NA MDOGO YOTE IKIWA NA GESI,MEZA ZA KIOO NA SOFA MOJA,TV NA subwoofer POMOJA NA KINGAMUZ CHA DSTV,FRIDGE LA KAWAIDA,NA MAFENI KAMA MATATU HIVI HAPO GHARAMA YAKE KWA VYOTE ni 1000000 BEI YA KISHKAJI
B. Kuuza mafungu fungu
Ambapo kitanda na godoro vyote nauza 200000 VIPO katika good condition kabisa hamna uchakavu HATA kidogo
-mitungi ya GESI miwili pamoja na jiko vyote nauza 200000 bado GESI IMO katika mitungi ya kutosha tu
-TV inch 24yaani nilivoinunua nikaiweka mezani haijawahi hamishwa wala kufunguliwa,kingamuzi cha dstv,sabwoofer,deki, vyote ni bland new toka dukani na havijawahi dondoka wala kuwa na tatizo ni mashine za kufuta na kitambaa tu na unaweza rudisha dukani tena maana zipo katika hali nzuri. Vyote nakuuzia 300000 meza nakupa free
-sofa pamoja na meza ya kioo vyote utanipa 100000 bei ya kishikaji pia good condition kabisa HATA kutembea navyo kwa watu unavyosafirisha unakuwa huru sio kuwa na aibu
-fridge pamoja na feni zote tatu lete 150000 havina shida HATA kidogo
Pia hapa napokaa kwa wale ambao hawataki bugdha na wapangaji na wanahitaji nyumba yenye hadhi kiasi uswahilini basi hii itamfaa choo cha kwako,umeme mnashare wawili mita.
Location dar es salaam ,kiwalani,kijiwe samli , namba 0673320147
View attachment 1128982View attachment 1128984View attachment 1128986View attachment 1128987View attachment 1128988View attachment 1128989View attachment 1128991View attachment 1128993View attachment 1128994View attachment 1128995View attachment 1128997View attachment 1128999View attachment 1129000