Njoo ushindwe mwenyewe getho ( vitu ndani vipo)

Hicho kachumba Ni kumtafuta mdada mmoja wa jf humu unampangishia na Kodi unaongeza 3yrs mbele apunguze stress na kausafir kake kama kile cha bashite
 
Hiyo dstv peke yake unauza kiasi gani? Package vipi imeisha au bado visiku kadhaa?
 
Tv aina gan boss nifikirie hio package ya TV. Na godoo ni aina gani
 
Kideo peke ake unasukum Bei gani?
 
Hyo KY ya nn ss[emoji44]
 
Kwa ushauri!!! Kwa maisha haya ulokua unaishi, ya kulipa kodi 100,000./, umeme 10,000/, maji, 10,000/, chakula 200,000/, (nine assume) DSTV 40,000/, Vinywaji 150,000/ (assumed) nakuomba tagadhali usije huku shamba!!!!!!


Labda kama unataka kujiua. Jaribu kumuuliza kijana Analyse atakuelewesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…