Njoo ushindwe mwenyewe getho ( vitu ndani vipo)

Shamba vitu viko juu mzee?
 
Aiseee, kwa anayeanza maisha kila kitu very cheap, ukijumlisha na gharama za chumba, kwa milioni 1...mrembo yoyote ambaye anaweza kunisaidia kuishi hapo ani PM, mimi nitakuwa ninakuja kulala mara moja moja
 
Hayo mazaga yote kutoa gharama za chumba ni kiasi gani?
 
Sidhani, ukiniambia nyumbani sawa ila sidhani kama kuna mtu mwenye kipato cha uhakika anaweza kuishi kwa dada, Unaona sasa alichosena Ndege John.... Kwamba angekuwa na uwezo hata wa laki tatu tu asingeishi kwa dada
Ndiyo. Wanaishi sana Khantwe na wanafanya kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23]kajisemea ndege JOHN eti hata wangekuwa na 300 wasingeishi kwa shemeji.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani, ukiniambia nyumbani sawa ila sidhani kama kuna mtu mwenye kipato cha uhakika anaweza kuishi kwa dada, Unaona sasa alichosena Ndege John.... Kwamba angekuwa na uwezo hata wa laki tatu tu asingeishi kwa dada
Kunao wanaoogopa maisha.
Hususani wakifikiria kuanza kupanga gharama za mwanzoni zinakuwa kubwa sana.
 
Kitanda na godoro vimeshakwenda Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…