Njoo usuke nywele nzuri kwa bei rahisi

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
7,173
Reaction score
9,642
Fundi ususi kwa bei poa anapatikana Manzese Bakhresa, nyumbani pia anakufuata (ila gharama itaongezeka kidogo), wasiliana nae kwa namba 0712721394 nywele zote zina range kati ya Tsh. 10,000 mpaka 20,000 (punguzo unapqta pia)





 
Duuh vzur.. namleta manzi wangu leo mumrembe kichwa chake, So jioni nimchezee vzur..
Starehe gharama bhna
 
Nasikia watoto wakisuka nywele wana weza kupoteza maisha, nini ukweli juu ya hili?
Ni kweli wala si uongo,watoto wadogo wenye wazazi waelewa hawatakiwi kusuka hasa nywele sampuli ya rasta na dredi maana nywele hizo huambatana na kuvutwa ngozi, ila wazazi vichwa ngumu wanawasuka
Muhimu: siwashauri wazazi wenzangu wakawakaze rasta watoto wetu,wasukwe tu za kawaida (kama ni lazima wasukwe) kwa rasta na dredi twende tu sisi wenye ngozi ngumu iliyokwisha komaa kichwani
 
Hiki nacho ni kiwanda. Asante kwa kushiriki kampeni ya Tanzania ya viwanda. Mungu abariki kazi za mikono yako.
 
Hiki nacho ni kiwanda. Asante kwa kushiriki kampeni ya Tanzania ya viwanda. Mungu abariki kazi za mikono yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuna draya 4 kwa Mujibu wa mwijage tayari ni kiwanda, karibu tukuze uchumi wa viwanda mkuu
 
siku hizi kusuka 20 ni anasa .mimi nafatwa hadi home natoa buku tano . nikiwafata buku tatu . hyo elf 10 rasta za nani?
 
siku hizi kusuka 20 ni anasa .mimi nafatwa hadi home natoa buku tano . nikiwafata buku tatu . hyo elf 10 rasta za nani?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] free market economy
 
sijavutika kwakweli na yeboyebo mbn km mikoani tu?i mean haijachongoka bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…