kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Habari za mda huu?
Naomba kuuliza kwa wale ndugu zangu wapenda Tungi siku ya Kwanza kununua beer unywe
Ulijiskiaje? achana na mwanzo za kujifunzia za sherehe siku ya Kwanza kutoa pesa mfukoni kununua beer na uitaje ilikuwa beer gani?
Mimi siku hiyo nilijiona mkubwa sana na nilikaa Counter pale juu kabisa.[emoji16][emoji481]