kwahyo ulinunua beer gani hiyo seven up au🤣🤣🤣🤣🤣Habari za mda huu?
Naomba kuuliza kwa wale ndugu zangu wapenda Tungi siku ya Kwanza kununua beer unywe
Ulijiskiaje? achana na mwanzo za kujifunzia za sherehe siku ya Kwanza kutoa pesa mfukoni kununua beer na uitaje ilikuwa beer gani?
Mimi siku hiyo nilijiona mkubwa sana na nilikaa Counter pale juu kabisa.[emoji16][emoji481]View attachment 1620664View attachment 1620665
sikumbuki,nakumbuka tu siku ya kwanza kwenda Bar kunywa,nilijihisi tajiri mmoja mzito sanaHabari za mda huu?