mozes ndale
New Member
- Jun 3, 2013
- 1
- 5
Nimetengeneza application inayotaka kufanana na uber kidogo, lakini hii inaweza kufanya kazi bila kutegemea google map, na hata kama upo Kijiji unaweza kuitumia.
Inahusu transportation and delivery mtu yeyote anaefanya bodaboda au usafiri mwingine wowote anaweza kuitumia mbali na abilia, pia inahusu delivery mbalimbali. Shida ipo kwenye marketing kuifanya jamii iijue kama kuna namna unaweza kua sehemu ya management hasa kusaidia kuipush.
Unakaribishwa