Samhnini jmn naona nawaboa sitapost tena chochot naomb kuwasilisha
Kasi uliyoingia nayo kwenye jukwaa la Love Connect ni kali sana [emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]Kunanilichowakosea mbon. Sielew
Kwahyo inabidi alipiehalafu leo wametangaza ukikwea mwendokasi lazima ulipie sasa sijui hapa Jf napo
huku huwa hatupost vitu hivyo ndo maana watu wanashangaa!!!Kunanilichowakosea mbon. Sielew
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]huku huwa hatupost vitu hivyo ndo maana watu wanashangaa!!!
hapo hakuna namna alipie tu ila ngoja tumfanyie uchunguzi huyu ana multiple id sahz anatuzuga tu humuKwahyo inabidi alipie
Mumie post yako ya kwanza umeingia kiubabe /kishari shari sana as if kuna mtu /watu walikua wanakusumbua sana PMKunanilichowakosea mbon. Sielew
Kunanilichowakosea mbon. Sielew
Ungemfanyia orientation japo kwa dakika 15.Mumie post yako ya kwanza umeingia kiubabe /kishari shari sana as if kuna mtu /watu walikua wanakusumbua sana PM
Yani post yako ya kwanza tu umeanza na onyo
Alafu jaribu kuandika maneno vizuri
Punguza vifupisho
Naamini kwa ufupi niliompa amenielewaUngemfanyia orientation japo kwa dakika 15.
Ujumbe kuntu sana huu, ila nimejikuta nacheka [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Member mgeni akiingia huku huwa anaenda jukwaa la utambulisho kufahamika kwanza na kupokelewa Mfano: Kiranga..kwa kuwa tunaamini ni kuku mgeni na ana kamba mguuni!
Kuna wataalamu wa kupokea watu na kuwasaidia kuzoea jukwaa: Elli , Eiyer, mshana jr et al...
Sasa haiwezekani wewe umeingia JF leo na kuanza kusema wanaume wa huku tunakutongoza...tulikutongozaje na hukuwa member? Au ni ma-admin ndo walikuwa wanakutongoza???!!!
Unless wewe ni member mpya wa zamani huwezi kuwa serious kwa ujio huu....rudi ujipange upya, uje tena!!!
Tunakupenda.
Bado hajakutana na wale wanaotoa uhakika kwambaUjumbe kuntu sana huu, ila nimejikuta nacheka [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Au atakuwa ameingia na kukutana na pm ya kumtongoza
Hatari!Bado hajakutana na wale wanaotoa uhakika kwamba
"NIKIKUTAKA HUCHOMOKI"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Member mgeni akiingia huku huwa anaenda jukwaa la utambulisho kufahamika kwanza na kupokelewa Mfano: Kiranga..kwa kuwa tunaamini ni kuku mgeni na ana kamba mguuni!
Kuna wataalamu wa kupokea watu na kuwasaidia kuzoea jukwaa: Elli , Eiyer, mshana jr et al...
Sasa haiwezekani wewe umeingia JF leo na kuanza kusema wanaume wa huku tunakutongoza...tulikutongozaje na hukuwa member? Au ni ma-admin ndo walikuwa wanakutongoza???!!!
Unless wewe ni member mpya wa zamani huwezi kuwa serious kwa ujio huu....rudi ujipange upya, uje tena!!!
Tunakupenda.
Sistaa sory!!hiyo prfl ni wewe[emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Aisee
Mbula disco lishaingia mnang'ati asee[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]Nanyi pia usk mwema kwenu!
alipoingia hakuwa na avatar ya sasa hivyo sijui kama kuna mtu amemtongozaUjumbe kuntu sana huu, ila nimejikuta nacheka [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Au atakuwa ameingia na kukutana na pm ya kumtongoza
Wadau wameinasa akaiondoa (Ref: #37)alipoingia hakuwa na avatar ya sasa hivyo sijui kama kuna mtu amemtongoza
mmmmmhWadau wameinasa akaiondoa (Ref: #37)