Njooni mnaoelewa Kiingereza cha P.L.O Lumumba

ASITUZINGUE

AKALIME TUONE MAENDELEO SIO KUTUBOMBAST NA MALUGHA YA AJABU AJABU
 
Hapo ametumia maneno ya kilatini ambayo Mara nyingi suffixes zake huishia na '-ous'
 

Ile ni lugha jitahid uijue sio kuponda# jifunze mkuu
 
Raila hyprogynt and let Uhuru grymtor pygromy agree clampogrous troundios the election.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani badala ya kupunguza tatizo. Ndo umeongeza.
 
Huyo jamaa nimemfollow kule twitter lakini maneno yake magumu yananishinda hata kufatilia anacho kitweet.
 
Ndio maana ile mahakama ya upeo Kenya haikumuelewa akapigwa chini na Orengo. Tunatumia lugha kuwasiliana sasa huyu mwenzetu sijui anawasiliana na nani?
 
Ndio maana ile mahakama ya upeo Kenya haikumuelewa akapigwa chini na Orengo. Tunatumia lugha kuwasiliana sasa huyu mwenzetu sijui anawasiliana na nani?
Huyu jamaa kwa hivo akiwa lecture r tz atakamata darasa zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…