Njooni mnaoelewa Kiingereza cha P.L.O Lumumba

Nakumbuka mambo hayo ilikua kitambo Kwenye debate kutumia maneno magumu..
 
nikipiga chibuku ile chachu ya asubuhi huwaga nashusha nondo kama hizo
 
Nilipokuwa collage Nairobi Kenya, nilianza kumsikia huyu jamaa. Wakenya wanaamini huyu jamaa ndie mtu pekee anaefahamu English Kenya nzima na Africa mashaliki
 
Huyo PLO nafikiri anaunda hayo maneno kuficha maneno yake halisi ili kuepuka kukoselewa hasa pale maneno atakayoyatumia yatakuwa "offensive"!
 
Si wengine kiingleza tumekutana nacho form 1 B tukaachana nacho form 4C kumwelewa inataka uwe na encyclopedia labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…