Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Kwa huo mtaji nitafanya biashara gani ambayo sio ya uchuuzi nduguHuo wote ni uchuuzi, kutoboa kwenye uchuuzi kazi sana, wee hizo biashara umeona zimemtoa nani? Una reference?
Nunua mazao uza, fanya utafiti eneo ulipo kipindi cha mavuno mazao gani hupatikana kirahisi kisha nunua kwa wakulima na uuzie mabosi wenye mitaji mikubwa pesa ita tripple in one yearKwa huo mtaji nitafanya biashara gani ambayo sio ya uchuuzi ndugu
Huo wote ni uchuuzi, kutoboa kwenye uchuuzi kazi sana, wee hizo biashara umeona zimemtoa nani? Una reference?
Kununua mazao na kuuza sio uchuuzi? Uchuuzi ni nini?Nunua mazao uza, fanya utafiti eneo ulipo kipindi cha mavuno mazao gani hupatikana kirahisi kisha nunua kwa wakulima na uuzie mabosi wenye mitaji mikubwa pesa ita tripple in one year
Kununua mazao na kuuza sio uchuuzi!?Nunua mazao uza, fanya utafiti eneo ulipo kipindi cha mavuno mazao gani hupatikana kirahisi kisha nunua kwa wakulima na uuzie mabosi wenye mitaji mikubwa pesa ita tripple in one year
Huo wote ni uchuuzi, kutoboa kwenye uchuuzi kazi sana, wee hizo biashara umeona zimemtoa nani? Una reference?
Mtaji utakata within a yearKati ya hzo mbili naona bora viatu vya mtumba mana havina mwingiliano sana na serikali. Bucha utahtajka kuwa na kibali toka bodi ya nyama TMB, uwe na ule msemeno wa kukatia nyama wa kisasa, na vikorokoro vingne.
Mi pia nimeshangaa kwamba anaongea vitu asivyo vielewa.Kununua mazao na kuuza sio uchuuzi? Uchuuzi ni nini?
Yes not mtumba thingyUza viatu vya special viwe mchanganyiko vya kike na kiume
Kwa hiyo hiyo sio biashara ya uchuuzi? Na nani alikudanganya biashara za uchuuzi hazina faida?Nunua mazao uza, fanya utafiti eneo ulipo kipindi cha mavuno mazao gani hupatikana kirahisi kisha nunua kwa wakulima na uuzie mabosi wenye mitaji mikubwa pesa ita tripple in one year