Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Mambo vipi wakuu?
Kwa miaka 17 nimekuwa mdau sana wa CHAPUTA. Nilivyopata kazi mwaka 2012 nikajua ntaacha maana nilikuwa na uwezo angalau wakuhonga demu ninayemtaka na kumpata ila haikusaidia.
Badae nikaoa ila bado nikawa naendelea, nimejaaliwa watoto wawili wameanza shule ila bado nikawa nashtua.
Jinsi Nilivyoacha:
Jana nikaona huu ni upuuzi tu, nikaamua kuacha. Huwezi amini mpaka sasa sijapiga tena na wala sijaangalia porn, leo nilichepuka tu ila puli nimeshafanikiwa kuacha.
Kumbe ni suala la kuamua tu.