Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Wakuu leo nilikia naangalia baadhi ya takwimu ya soccer la bongo kama vile
Timu yenye mataji mengi
Mfungaji bora wa muda wote
Magoli mengi ya kujifunga
Mchezaji mwenye assist nyingi
Na mengine yanayofanana na hayo
Cha ajabu hakuana hata blog iloleta hata wafungaji bora wa msimu huu
Hivi kama tunashindwa hata kuweka takwimu za msingi kisoka hivi kweli club zetu zina cha kujivunia mbali na ubingwa
Naomba muongezee madhaifu na masikhara mengine labda wahusika watapitia huu uzi