Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nipo nyumbani nakula mpungaUpo wapi Na unajishughulisha Na nini
Wewe upo wapi?Upo wapi Na unajishughulisha Na nini
Jela unachati?Watu tupo jela hapa tunakula ugali Na maharage wewe unatutamanisha tu. Dah
Mkuu wa magereza ni Rafiki yangu.Jela unachati?
Ahahaa hongeraMkuu wa magereza ni Rafiki yangu.
AhsanteAhahaa hongera
Kwahio umeamua huu mjadala uanze na pilau?
Nyama zipo chini za kutosha Mkuu.njoo na ndiziNyama zikowapi? kiazi mbatata kimoja tu kitatutosha kweli?
Niwekee pilipili pembeni nakwenda kunawa mikono kwanza.
Ok,wacha niwahi,wajanja wasije nitangulia.Nyama zipo chini za kutosha Mkuu.njoo na ndizi
Huo mchele mbona kama ile ya plastiki?Kwahio umeamua huu mjadala uanze na pilau?
View attachment 760204 Ubachela mbaya sana, hadi jumapili nakula magengeni! Haya maisha nimeyachoka...
Duh...!Huo mchele mbona kama ile ya plastiki?
Poa unajishughulisha Na niniNipo nyumbani nakula mpunga
Nipo dar es salaamWewe upo wapi?
Halafu pilao lenyewe feki.huoni tofauti ya mpunga wangu na wako?Kwahio umeamua huu mjadala uanze na pilau?
View attachment 760204 Ubachela mbaya sana, hadi jumapili nakula magengeni! Haya maisha nimeyachoka...
Mkuu mbona unafanya mlo mgumu?Poa unajishughulisha Na nini
njoo tuoaneKwahio umeamua huu mjadala uanze na pilau?
View attachment 760204 Ubachela mbaya sana, hadi jumapili nakula magengeni! Haya maisha nimeyachoka...