Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #21
Mara ya mwisho kugegeda lini?Ok,wacha niwahi,wajanja wasije nitangulia.
Mlo mgumuMkuu mbona unafanya mlo mgumu?
Bora hata mwenzangu nitakuwa maidnjoo tuoane
Ugali wa dagaa mtamu sana the best dish ever!Mlo mgumu
Nimejishindila ugali Na dagaaa
Nasukuma tela
Yamekua hayo tena?!Mara ya mwisho kugegeda lini?
Bahati ya mtende kuota jangwani...im all yours lady!njoo tuoane
Yaaah karibuUgali wa dagaa mtamu sana the best dish ever!
Hebu tujadili maisha basiiiHalafu pilao lenyewe feki.huoni tofauti ya mpunga wangu na wako?
Usiseme tena huna Bahati .kitu hicho kimeshukaBahati ya mtende kuota jangwani...im all yours lady!
Ndo hivoYamekua hayo tena?!
Mungu kanionaUsiseme tena huna Bahati .kitu hicho kimeshuka
Ndio .yupo wakuvukia barabaraUna chura?
Kwa kweli.kakuonea huruma huo mchele wa plastic uliokulaMungu kaniona
Wakupiga vimakofi wakati wa mambo yetu yale hayupo?Ndio .yupo wakuvukia barabara
Raha ya jpili jikoni bnaMiss Natafuta hizi fujo za j2 niaje niaje mbona sierewi?
[emoji12] [emoji12]
We umekuwa kuku?Nipo nyumbani nakula mpunga
Mimi ni zaidi ya kukuWe umekuwa kuku?