Kwa kweli mdada mapishi..lini nije kula biriani?Raha ya jpili jikoni bna
Jpli ijayoKwa kweli mdada mapishi..lini nije kula biriani?
Mgeni wako muweke kwenye hesabu. .[emoji39]Jpli ijayo
πππππ
Mbona wadada wapo bwerere kwa nn unakula magengeni mkuuKwahio umeamua huu mjadala uanze na pilau?
View attachment 760204 Ubachela mbaya sana, hadi jumapili nakula magengeni! Haya maisha nimeyachoka...
Mkuu, Muchele hiyo si ile ya Thailand?Duh...!
Magenge yapo kwa ajili ya watu kama sisi.Mbona wadada wapo bwerere kwa nn unakula magengeni mkuu
Hujui kuwa Thailand ndio kuna mchele bora? Ndio huo BasmatiMkuu, Muchele hiyo si ile ya Thailand?
Hahahaha, jibu zuri kweliNyama zipo chini za kutosha Mkuu.njoo na ndizi
Ila mkuu, Tuliwahi kuletewa basmati ya ku-paste mwaka 2005, Bado unakumbuka?Hujui kuwa Thailand ndio kuna mchele bora? Ndio huo Basmati
SikumbukiIla mkuu, Tuliwahi kuletewa basmati ya ku-paste mwaka 2005, Bado unakumbuka?