Hello guys!
Nachukua nafasi hii adhim kujipongeza mimi pamoja na wazazi wangu kutokuingia kwenye ulimbukeni wa kijinga wa kuondoa rangi yangu ya asili na kujinasbisha na watu weupe!
Tunazipokea kwa mikono yoteWaliojichubua ni kichekesho, virangi vingi kwenye ngozi, mara cokokola, fanta, tangawizi mpaka anakuwa kideo. Jua kali ni shida tupu! Hongereni mlioepuka hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
@coacastic nawe upo upande gani?!