njooni tuwachane live..!!

njooni tuwachane live..!!

kabon14

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
1,233
Reaction score
867
Wakuu karbuni katka thread hii ya kibabe, thread ya kuwachana wote wanaozingua.. tuwe wakweli Na ujumbe uwafikie wanao husika..!!


Mm nianze Na hawa mastaa wabongo wanao jifanya wanajua kizungu kumbe mbwembwe Tu,utaskia...
"aaah you know mm n artist nnaeipenda kaz yang, actually hata fans zang wananielewa sana..." Huu Ni upuuzi coz ukiwaambia waongee hcho kizung mwanzo mwisho Ni mtaftano, wanadhan lugha inapma uwezo wa mtu!! Hawajui hcho kizungu hata mataira ulaya wanakiongea. Acheni utumwa nyie penden kilicho chenu..NAWACHANAAAAA


Karibuni wakuu tuendeleze harakati
 
Back
Top Bottom