Njooni wamepungua, wamesinzia barabara nyeupe...

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
za saa hizi wana jamvi nataka niwambie kuwa nimechungulia pale kona na kuona jamaaa wame
Staff Online Now
pungua sio kama walio kuwepo pale kona mchana wenye mambo yetu njooni tujimwage.
 
walio baki hawanaga noma Buku Tano wanachukuaga. msiogope.
 
Mkuu mada yako iko kama wale vijana wa Kifimbo cheza wachafuzi wa lugha walivyokuwa wanamwagika kama Mzee Kifimbo cheza hayupo.
 
Njia nyeupeee ni kutiririka kwa kwenda mbale ila kuna virabsha vya hapa na pale! Kwa mbaaali naona jamaa amejificha kwenye kichaka amesahau kukaficha katochi kake.
 
Sasa hivi wamebadili style mkuu, wamehamia bar, ukiwaona wadada kwa bar na vireds au lite beer wamekaa tu wako kama watatu vile halafu hawana story kila mmoja anachezea kismartphone ujue hao wako sokoni kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…