Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Umewahi kuwa na njozi (fantasy) juu ya mke au mume wa rafiki yako? Kuna rafiki yangu ana mke bomba sana na kila mara huwaga namuwaza kwenye njozi zangu kuwa siku nikimpata huyu...atanikoma. Saa ingine huwa nawaza sijui ana ladha gani huyu?
Am I sick or what?
Unajitafutia balaa mazee......tafuta ndoto mpya!
Mhhhhh! Mke wa rafiki yako ni NO NO NO NO. Unawezekana ukawa ni mgonjwa au la lakini imeshatokea mume/mke wa rafiki kuzima taa na kushughulika na rafiki wa mwenzie. Kama ni njozi tu zinakutokea na huna mpango wa kuzifanyia kazi basi hakuna tatizo lakini kama unaanza kufikiria jinsi ya kumuingia huo shemejio basi unacheza na moto na usishangae ukaja kukuunguza na kubaki na majuto mjukuu.
:sorry:
we ni mchafu. period..kwasababu post zako nyingi zinaongelea ngonongono tuuuu, si uoe wa kwako..utadondosha udenda kwa wanawake wapita njia hadi lini?..
Pole NN, jitahidi kumuona kama mke wa rafiki yako badala ya kumuona kama mwanamke anaevutia...
Annina
Atakuwa na ladha ya sumuSaa ingine huwa nawaza sijui ana ladha gani huyu?
Lakini dada, macho hayana pazia. Siwezi kujifanya naona kitu ambacho hakipo. Mdada wa watu anavutia na huo ndio ukweli wenyewe na habari ndiyo hiyo. Sijamkumbatia na kumwambia ana ngozi laini au kaumbwa kikampeni...Lol..whatever the heck that means...
Ni dhambi hata ku fantasize mwenyewe kivyakovyako?

NN hapo kwa bold nadhani ndiko unakoelekea...
Annina
Mjomba futa hayo mawazo na ndoto....ushauri wa bure, huko bongo watu wanakalia chupa siku hizi. Vitu hivi si utani mazee....
Kudhani kwako ndio unapokosea!!!
Lakini dada, macho hayana pazia. Siwezi kujifanya naona kitu ambacho hakipo. Mdada wa watu anavutia na huo ndio ukweli wenyewe na habari ndiyo hiyo. Sijamkumbatia na kumwambia ana ngozi laini au kaumbwa kikampeni...Lol..whatever the heck that means...
Ni dhambi hata ku fantasize mwenyewe kivyakovyako?
Huyo ni mmoja. Wako wengi mno. Ukifantasize kwa kila mzuri unaye muona mwishowe fantasy ndiyo itakuwa shughuli yako ya kila siku. See a counsellor for help. That is how rapists and serial killers start their careers.Lakini dada, macho hayana pazia. Siwezi kujifanya naona kitu ambacho hakipo. Mdada wa watu anavutia na huo ndio ukweli wenyewe na habari ndiyo hiyo. Sijamkumbatia na kumwambia ana ngozi laini au kaumbwa kikampeni...Lol..whatever the heck that means...
Ni dhambi hata ku fantasize mwenyewe kivyakovyako?