Njugush kwa sasa ndio mchekeshaji bora EA

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Hakuna cha mc pilipili ,joti au eric omond huyu jamaa kutoka 254 ni funika kama unastress lazima zipungue.

 
Me I like njugush kwa kweli first time naangalia kazi zake nilivunja mbavu kwanza mwili wake then kichwa yake he's funny kwa kweli
 
Hakuna cha mc pilipili ,joti au eric omond huyu jamaa kutoka 254 ni funika kama unastress lazima zipungue
Sikatai hoja yako ila sio sawa kumfanananisha na eric omond kwa maana aina ya uchekeshaji wanayofanya ni tofauti, huyu ni category moja na kina joti na masanja.
 
Me I like njugush kwa kweli first time naangalia kazi zake nilivunja mbavu kwanza mwili wake then kichwa yake he's funny kwa kweli
Ha ha ha na komo lake zuri sana kwa kupiga makwenzi
 
Huyu jamaa kweli anachekesha niliona clip zake da Halooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…