Njunji siku ya harusi.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Hata kama mlikuwa mkimegana kila siku b4 ndoa. Siku ya harusi wote mnakuwa na mihemko na hamu ya ajabu kunjunji na mkeo.
Je utafanyeje ikiwa umeisubiri kwa hamu usiku uingie ili ufaidi uhondo na mkeo halafu ukakuta anavuja damu za mwezi zilizo muanza kutokana na hofu ya harusi?
Je utamega na damu au utafanyeje?
 
Sasa ni saa ya kwenda kwetu,,,,mwalimu mwalimu kwaherii ,,, tutaonana kesho.
 
Maswali mengine bwana, so ukijua itakuwaje utafanya nini? We umeoa au unataka kuoa, kama bado subiri utapata mafundisho b4 ndoa hayo yote utafundishwa huna haja ya kuleta hapa swali kama hilo
 
Ni uzembe wako mwenyewe wa kutopangilia tarehe za shughuli..tena uzembe wa digrii ya juu kabisa..:crazy:
 
KWani hiyo haraka ni kiasi gani ambayo huwezi kusubiri amalize moon yake???
 
Subiri siku ya harusi yako .. au siku utayooa ndio utajua mapenzi bora ni yapi..huwezi fundishwa..Kama binadamu utajua mwenyewe ufanye nini...
 
Kuogelea kutoka Dar mpaka Madagascar ni
Muda gani????
 

Kama mmeshamegana kwa muda mrefu lazima kuna siku utakuwa ulimega akiwa na damu, so hiyo siyo issue, by the way haina madhara yoyote. Mwaka 2008 tuliwahi kulijidili hilo jambo hapa JF, wadau wengi walisema kama partner wako yuko tayari kukamua na damu siyo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…