Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama tulivyoahidi hapo awali , Oparesheni 255 yenye lengo la kuwakumbusha Wananchi umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafungua macho wananchi hao ili wajionee ubovu wa Mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai , imefika Nkasi Kadkazini.
Kwenye Jimbo hilo kumetokea Mshangao wa Ajabu ! baada ya Umati Mkubwa mno kujitokeza kusikiliza hoja za Chadema.
Kama kawaida Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameongoza semina hiyo kwa wananchi
Hali ndio hii