Nkonkoni na Makambo hawana tofauti

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kutokana na viungo wa yanga pamoja na mawinga wao basi sina Shaka kusema hifiz nkonkoni ata shine saana yanga

Mayele Alikuwa mshambuliaji bora lakini alikuwa na mapungufu kwenye finishing
Ilikuwa rahisi kwa mayele kufunga goli ngumu kuliko kufunga goli rahisi

Mayele hakuwa mzuri kwa vichwa

Ila huyu nkonkoni na finisher mzuri saana na pia ni mzuri kwa mipira ya juu

Namuona akifanya vizuri Kama alivyo fanya makambo 2018-2019

Mda utaongea
 
Ila Kuna Mashabiki wa Utopolo Wajinga sana. Sasa Utopolo Ina viungo gani wanaoweza kulisha timu na ku create chances?

Utopolo hakuna timu pale
 
Ila Kuna Mashabiki wa Utopolo Wajinga sana. Sasa Utopolo Ina viungo gani wanaoweza kulisha timu na ku create chances?

Utopolo hakuna timu pale

Mda utaongea
 
Achana na kufunga... Mayele alikuwa na uwezo wa kuwachachafya mabeki wa timu pinzani Kwa kiwango cha juu sana. Mayele alikuwa kama zimwi liogopwalo na Kila mwanakijiji
 
Unamlinganishaje mtu hata hajachezaa mechi yoyote na Team against mtu ambaye ameonesha uwezo mkubwa.Africa saivi hakuna no9 mpambanaji skillful na mstarabu kama FM9
 
Mayele tena ana kasoro.Mkinywa pombe mnywe hadharani maana mkitoka mnakojificha mnaropoka sana.
 
sasa wewe huyo konkon umemjulia wapi?

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Nkonkoni hana tofauti na bocco wa robo robo fc. Leo afunge zipite mechi 10 ndiyo afunge tena. Kwa kifupi yeye ni kimeo
 
Uzi tayari!!!!????

NINA WASIWASI HUMJUI FISTON MAYELE WEWE.

Au hujui Mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…