K Kiumbe duni Senior Member Joined Dec 3, 2011 Posts 100 Reaction score 8 Feb 23, 2012 #1 Baada ya kusikia matangazo meengi ktk mechi iliyopita kati ya Yanga na Zamalek yanatangazwa na wapiga hela nikajua tushaumia. Hiv umati wote ule na hela tuliyotangaziwa vinaendana kweli...!
Baada ya kusikia matangazo meengi ktk mechi iliyopita kati ya Yanga na Zamalek yanatangazwa na wapiga hela nikajua tushaumia. Hiv umati wote ule na hela tuliyotangaziwa vinaendana kweli...!