mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Ni tukio LA asubuhi ya leo nilipopigiwa simu na jamaa angu alimaarufu kama kijana
Kijana: Mambo vp bro
Me: Pouwa tuu niambie kaka
Kijana: aah shwar tuu kaka ,Mishe zinaendaje?
Me: hvo hvo kaka tunakomaa, enhee nipange
Kijana: Harakati n adje
Me: fresh tuu bro
Kijana: vp shemela wetu mzm?
Me: yuko pouwa tuu
Kijana: Mambo mengine vp lakin?
Me: (kwa hasira [emoji35] ) yapi hayo?
kijana: [emoji3] [emoji3] [emoji3] c watoto naskia Siku hz unawala kchiz
Me: acha kuzingua wewe, enhee .mishe gan now days
Kijana: me nipo nipo tuu man sina hata mishe adse
Kwakweli baada ya hapo nlipata mstuko sana kijana alipo sema yupo yupo tuu hana mishe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]