Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kocha wala ubora wa team. Ni ushindi wa kimichongo. Ndo maana unaona Yanga tunapita mtu 5 lakini wala hatuongei sana. Tunafahamu si mbinu za kocha wala si ubora wa wachezaji.
Hizi teams tunazifahamu, zinatufahamu na tunafahamiana. So tukiamua hata kuzipiga 10 inawezekana. Ndo maana pamoja na kufunga funga watu 4 mara 5 bado tunajua nini kinafanyika. Na athari zake tuliziona CAF. Team hamna.
Mazembe TP tuliwafunga sababu walikosea mambo flani vyumbani.walisalitiana. wale Al Hilal tunajua Ibenge ilikuaje. Unatuona wanayanga hata hatujisifii.. .na Ibenge akatoa tena zawadi kwa TP Mazembe kwa kuwa alikuwa na uhakika tayari. Makocha wa kiswahili wananunulika kirahisi sana. Hasa wachezaji na makocha from Kongo.
Kifupi tulikosea sana kumfukuza yule kocha na kumleta huyu. Wacha tujipange. Tuendelee kuvumilia.