Kenya wametupiga bao..
Hii mechi ilipaswa ichezewe kwenye ardhi ya Tanzania kwa kuwa ni sehemu muhimu Katika kutangaza utalii wetu.
Je, makonda waziri wa habari sanaa na michezo hawezi washawishi hata Barcelona FC waje wacheze hapa Tz?
View attachment 3702467