Kama back up ilikua off mbona changamoto,...Android backup ilikuwa off
Nenda kwanza kwenye settings angalia kama haukuclear cache,. Delete App halafu download tena make sure hauskip option yoyote.,,Android backup ilikuwa off
Basi hamna kitu utafanya.Siku clear,na nimesha reinstall WHATSAPP na ku restore Kila kitu ila Bado sjafanikiwa
You don't want peaceUnatumia simu gani?? Android au iOs??
Back up ilikua on au off??
Jibu kwanza halafu nijue kama nitaweza kukusaidia
Pole sana aisee,. Kubali tu haziwezi kurudiSiku clear,na nimesha reinstall WHATSAPP na ku restore Kila kitu ila Bado sjafaniki
Pengine ushahidi unahitajika mahakamani babuu๐๐๐คYou don't want peace
Hapo kuna mtu anaenda kuachwa Kwa ushahidi wa hizo deleted meseji ๐ค