hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
hakikisha laini imo kwenye simu yako na ndio unayojaza namba kweliMimi sipati confirmation code wiki Sasa inakata
Kila nikijaribu naambiwa nijaribu baada ya 1hr,situmiwi code kwa SMS wala kwa call.
Nikiclear storage na cache niaaze upya tatizo no hilohiloView attachment 2998218
Msaada
Huyo atakutetea tuu maana naye nna wasi wasi nae...Kuwa na huruma na Wazee Mkuu
Mimi ni Mzee mwema kuliko wengi humu, muulize hata Mjukuu wangu Leejay49 ๐ค
Ee ndo hivyo ๐๐๐Hahaha.......hiyo hatari Mjukuu ๐
Japo kujihami, nikiwa na wewe eneo la tukio nakuelekeza uzime simu yako ili kuepusha kudukuliwa Kwa namna hiyo
Na Uzee huu kuwa na connection mbona unaweza kuomba Dunia ifunguke ikumeze, maana ni aibu tupu ๐
Muone๐๐Huyo atakutetea tuu maana naye nna wasi wasi nae...
Bloodline. Si unaona mbinu anazotoa hapo
Hahaha..........kuweni na huruma na Wazee ๐คHuyo atakutetea tuu maana naye nna wasi wasi nae...
Bloodline. Si unaona mbinu anazotoa hapo
Ila kweli bado unajitunza ndo maana umekuja kuuliza!!!M
Mimi mdogo hata ubwabwa Wa shingo haujanitoka
Kiufupi Bado najitunza๐ฅฒ
Wachana na simu ya mwanamke mkuuKichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k
Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa.
Ova.
Chemsha sufuria la maji ya moto, iingize simu kwa dakika moja tu, kisha itowe, msg zote ulizofuta utaziona zimerudi.Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k
Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa.
Ova.
C
Chemsha sufuria la maji ya moto, iingize simu kwa dakika moja tu, kisha itowe, msg zote ulizofuta utaziona zimerudi.
Au Mwambie uliyemtumia akutumie tena kwako au aliyekutumia akutumie tena. Au andika msg nyingine. Sim
Sijapentaaa๐๐๐C
Chemsha sufuria la maji ya moto, iingize simu kwa dakika moja tu, kisha itowe, msg zote ulizofuta utaziona zimerudi.
Au Mwambie uliyemtumia akutumie tena kwako au aliyekutumia akutumie tena. Au andika msg nyingine. Simpo.