Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jun 29, 2024 #1 NMB kisa mna namba yangu nilijiunga na NMB Mobile ndio mmeamua kunitumia msg kibabe ata haieleweki. Huduma gani itakayositishwa? Huduma ya Bank au Mobile? Na itasitishwa hadi lini (kwa muda gani)? BTW situmiagi huduma zenu ni account ya kuingiza mshahara tu.
NMB kisa mna namba yangu nilijiunga na NMB Mobile ndio mmeamua kunitumia msg kibabe ata haieleweki. Huduma gani itakayositishwa? Huduma ya Bank au Mobile? Na itasitishwa hadi lini (kwa muda gani)? BTW situmiagi huduma zenu ni account ya kuingiza mshahara tu.
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Jun 29, 2024 #2 Nchi ya hovyo, kisa mwaka wa serikali huduma za kifedha zinakuwa hazipo. Kama ni kuupdate policy siwafanye usiku wa manane.
Nchi ya hovyo, kisa mwaka wa serikali huduma za kifedha zinakuwa hazipo. Kama ni kuupdate policy siwafanye usiku wa manane.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 29, 2024 #3 Wanafanya birthday nimeishia kusikitika , wenye wagonjwa kazikwenu Gvt ,itakuwa na birthday
frankkilulya JF-Expert Member Joined Apr 6, 2022 Posts 590 Reaction score 1,494 Jun 29, 2024 #4 ukiona hvyo ujue account yako ina digit ndogo sana tafuta hela watakubembeleza tu
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 Jun 29, 2024 #5 mimi wameniandikia hvo hvo