NMB Internet banking kuna matatizo ila hakuna msaada

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Tafadhali wahusika wa hiyo idara sikilizeni wateja,
1. Ni rahisi sana kujifunga bila sababu za maana
2. Ukipiga simu hawapokei na mmoja akipokea anakurusha kwa mwingi aidha asipokee na pia akipokea anakupa namba ya mwingene tena mwisho hakuna msaada kbs
3. Uwongo wao sipo ofisini nitumie user ID na Jina kwenye msg nikifika ofisini nakutumia kwenye email hapo ndio kwa heri.
4. Mfumo mzima wa Internet banking sio rafiki kabisa complicated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…